|
Hello ADELA DALLY KAVISHE, NI MATUMAINI yangu kuwa umzima. nashukuru kwa kuweka kitabu changu katika blog yako. nimetoa kitabu kipya kiitwacho SAYANSI YA MAPENZI na kina sura zenye majina yafuatayo........
1.kumpata mume anayekupenda
2.kumpata mwanamke anayekupenda
3.DALILI ZA MPENZI ASIYE MWAMINIFU
4.SAYANSI YA KUTONGOZA.
5PRESHA YA WIVU(HASARA NA FAIDA)
6. FAIDA MUHIMU ZA TENDO LA NDOA
7. HARUFU UKENI( SABABU ZA HARUFU MBAYA NA TIBA YAKE)
8. TATIZO LA UKE MLEGEVU( HASARA YAKE NA TIBA)
9MWANAMKE NA UUME MDOGO ( HATARI ZAKE)
10. KUPUNGUA KWA HAMU YA TENDO LA NDOA ( TIBA NA HATARI YAKE)
11.KUTAMBUA MKE ALIEFIKA KILELENI( WANAWAKE WENGI HUDANGANYA WAUME ZAO)
12.UNENE NA MAPENZI
13.KUEPUKA MAGONJWA YA ZINAA
14. TENDO LA NDOA LAWEZA KUUA.
15. KUPATA MTOTO UMTAKAE( JINSI YA KUCHAGUA NA KUFANYA)
16. NJIA ASILI YA UZAZI WA MPANGO |
Unaweza kuwasiliana na Dr Nelson kupitia
0754039994
Maoni 6 :
Duuh, haya mshindwe wenyewe kuzijenga ndoa zenu, ...! Ndoa haijengwi ka kulalamika, matendo...hasa matendo ya ndoa...lol
Mambo dadaa! Je nitapataje kitabu cha Dr.Nelson?
Helow wapendwa!!
Bado kitabu cha Dk. Nelson, Sayansi ya Mapenzi' kinapatikana? Wapi? Mimi nipo Dar, Mwenge!
Victor
Helow wapendwa!!
Bado kitabu cha Dk. Nelson, Sayansi ya Mapenzi' kinapatikana? Wapi? Mimi nipo Dar, Mwenge!
Victor
Npo Moro nakihitaji
Dada kitabu cha Dr.Nelson kinapatikan wapi katika jiji la Arusha?
Chapisha Maoni