Jumanne, Agosti 30, 2011

Nawatakia sikukuu njema ya Eid tusherekee kwa amani na upendo

Mungu awabariki sana tuendelee kutenda yaliyomema wakati wote.

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

nawe pia Adela sikukuu njema

Bila jina alisema ...

tushekee kwa amani jamani,,nimeipenda hiyo tuendelee kutenda mema wakati wote

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom