Ijumaa, Septemba 02, 2011

Happy birthday to my blog,

Ni furaha kubwa kwangu Blog ya Adela kutimiza mwaka mmoja tangu nilipoifungua rasmi mwaka jana nawashukuru sana wadau mbalimbali kwa kuwa pamoja kuitembelea blog hii, vilevile napenda kushukuru blog mbalimbali ambazo zimekuwa kipaombele kuitangaza blog yangu hadi kufikia hapa, tutaendelea kuwa pamoja katika changamoto mbalimbali za mahusiano na maisha kwa maoni yako kwa lolote usisite kuniambia nawapenda sana.

Happy birthday adeladallykavishe.blogspot.com


Maoni 11 :

emu-three alisema ...

HAPPY BIRTHDAY adeladallykavishe.blogspot.com

Pole sana na hongera kwa kazi hii nzito . Mwaka mmoja ni muda, ukizingati majukumu na muda wako wa kuitolea.
Tunatakia kila-Lakher na mafanikio mema. TUPO PAMOJA DAIMA

Yasinta Ngonyani alisema ...

Hongera sana na tupo pamoja daima!

Unknown alisema ...

Kupima imani yako ni kwa thamani kuliko dhahabu.

Shughuli ni kupima uzuri wako, kazi zako n.k.

Hongera zote pokea.

Simon Kitururu alisema ...

Hongera sana Adela!
Ila siku moja ningependa kusikia sauti yako uso kwa uso!:-(

Bila jina alisema ...

hongera mwaya Adela keep it up

Bila jina alisema ...

Hongera Adelahuwa unajitahidi sana kuweka vitu vizuri vya kuelimisha jamii Mungu akubariki

Bila jina alisema ...

Naitwa James naipenda sana blog yako endeleakutupa mambo mrembo nakukubali na hongera sana

Rik Kilasi alisema ...

Hongera Adela kazi nzuri keep it up!

Bila jina alisema ...

Dada Abela wewe ni mzuri!!! Picha yako inasababisha moyo uende mbio. Mungu akubariki

Bila jina alisema ...

Mashalah mtoto unamacho mazuri sana, hongera sana na pole na majukumu mumy. Basi tutafutane mumy. Kazi njema. tuwasiliane kwa nzelwa@yahoo.com

Bila jina alisema ...

Very informative post. Thanks for taking the time to share your view with us.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom