Alhamisi, Agosti 18, 2011

Tembelea blog ya wabongomeet kujitafutia marafiki wa aina mbalimbali

Mimi ni Mtanzania halisi niliyezaliwa miaka 38 iliyopita jijini Arusha maeneo ya Sanawari. Niliamia hapa miaka mitano iliyopita baada ya kuonana na mme wangu kupitia njia kama hii (Cyber-love). Nina mtoto mmoja na ninaishi maisha tu ingawa ni ya kawaida. Hivyo nimeona ni vyema nikatoa nafasi kama hii kwa watanzania wengine ambao wangependa vilevile kuonana na marafiki wengine popote duniani kupitia blog hii ya WabongoMeet.
Wabongomeet ni blog ya Kitanzania inayotoa mwanya kwa watanzania mahali popote kujitafutia marafiki, wachumba mume/mke ulimwenguni kote. Mnakaribishwa bila ubaguzi wowote.

AKINA DADA MNAKARIBISHWA NAWAPA MOYO ZAIDI KUTEMBELEA HAPA http://wabongomeet.blogspot.com
Kwa wale wote ambao watapenda kuweka picha pamoja na info zao tafadhali tuma kwa kupitia email wabongomeetinfo@gmail.com, Pia nakaribisha maoni yenu.

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

Good article! Keep it up!

Unknown alisema ...

Good idea sister

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom