katika mahusiano asilimia kubwa ya wanawake hawaridhiki katika tendo la ndoa lakini huwa wanakaa kimya kitu ambacho siyo kizuri unakuta mwanamume anaradhika lakini mwanamke anakuwa hajaridhika na kukaa kimya kwa kuona aibu lakini moyoni mwake anabaki akiumia mimi na amini baina ya wawili wapendanao ni vyema kuwa huru ili wote muweze kufurahi na katika hili basi ni bora kuweka wazi ili mwenzio afahamu ni namna gani anaweza kukuridhisha JE NI KITU GANI KINAMFANYA MWANAMKE ASIWE MUWAZI KATIKA HILI JE NI AIBU PEKEE AU KUNA JAMBO LINGINE?? |
Maoni 5 :
mwenzangu ulilosema ni kweli kabisa mimi naona ni aibu tu
ni vizuri kusema kwani ukiona aibu haitakusaidia bali inaweza kukufanya utoke nje ya ndoa kwa kuhisi ukienda huko utaridhika
Ni kweli wanaume walio wengi hawawaridhishi wenza wao, ni kwa sababu ya ubinafsi maana yeye kutokana na maumbile yake yuko likely kuridhika kabla ya mwenza wake. Sasa, suluhu ya tatizo hili si tu itokane na mke kuwa wazi bali hata yeye mwenyewe mume lazima ajue wajibu wake kwa mwenzie na asiwe na huo ubinafsi. Kwa mwanaume aliye "reasonable" atajua tu bila kuambiwa kuwa ingawa yeye ameridhika, dhahiri mwenzie kamwacha njiani, hivyo awe na mbinu binafsi kuhakikisha safari inakuwa ya pamoja mwanzo mwisho. Hii dhana ya BABA KICHWA CHA NYUMBA inafika mpaka huko ndugu zangu, tusifanye uwezo wetu wa kufikiri kuwa finyu bila sababu.
Hili Dally mi naona ni aibu tu, lakini bora baada ya shughuli tukaulizana, kama mwenzako ana aibu utamjua then muulize, vipi! Umeridhika!? asiposema ukweli atakuwa anajinyima starehe mwenyewe...
Nakubaliana na Robert kwamba ni vema kuulizana kama kila mmoja yuko sawa na akama bado basi safari inaaanza. BIG UP ROBERT!
Chapisha Maoni