Jumapili, Oktoba 09, 2011

naomba radhi wadau wangu kwa kutoweka mambo mapya kwa muda kutokana na matatizo niliyokuwa nayo

Ni matumaini yangu tutaendelea kuwa pamoja wakati wote tuko pamoja na nawapenda sana.

Maoni 3 :

Bila jina alisema ...

Poa tumekuelewa,samahani nikuulize swali,
HIvi umeolewa au una mchumba.
maana nataka nijue maana we mkali.

Wako zura24@hotmail.co.uk

ROGER -UK

Yasinta Ngonyani alisema ...

Ni furaha kujua upo safi na karibu tena pamoja daima!

Unknown alisema ...

Ndio kunatuyajuayo yale ya UKIGUSA MOTO utaungua.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom