Wapo waliokata tamaa katika mahusiano ya kimapenzi chanzo ikiwa ni baada ya kutendwa hapo mwanzo lakini ni vyema usikate tamaa kwani yawezekana hukumpata mtu sahihi hivyo usiufunge moyo wako katika kupenda kwani utakuwa haujautendea haki muhimu ni kuwa makini pale unapotaka kuanzisha mahusiano. |
|
Maoni 1 :
that the point wanaume punguzeni kutuenjoy jamani.
Chapisha Maoni