Mimi ni mwanamume kuna mdada mmoja ambaye tulipendana tangia udogo wetu, tumekuwa katika mahusiano kwa muda mrefu baadaye nilienda kusoma Nairobi na yeye akabaki akisoma mkoani Morogoro, nilipopata likizo si nikaenda kumsalimia sintosahau mbona nilijuta kwa nini nilimfuata kwani bila hata ya aibu alinitambulisha kwa mpenzi wake mpya nguvu ziliniishia nilitamani ardhi ipasuke niingie.
Baadaye ilinibidi nikubaliane na matokeo baada ya hapo mimi niliendelea na maisha yangu. sasa kilichotokea yule jamaa aliyekuwa naye kwa sasa amemuacha na ameoa mwanamke mwingine,,mimi kwa sasa nina mpenzi wangu tatizo ni huyu mwanamke wangu wa zamani tokea ameachika yaani ananisumbua kwenye simu hadi nimechoka anatumia mesage za kuniomba msamaha mara ananiambia atajiua nikimkataa yaani ananichanganya nimeshamwambia simtaki lakini hakomi sijui nimfanyeje.

Maoni 3 :
ACHANA NAE HUYO MWAMBIE KUWA NINA MTU TAYARI JE NIMUUE HUYU NILIYENAE ILI NIWE NA WEWE AF SI ALIKUTOSA MWENYE SO KAREALIZE WEWE NDO MWANAUME MAJUTO HUWA MJUKUU.ZAMU YAKE KUUMIA SASA ANALO ATAJIBEBA PIA POLE MWAYA ACHANA NAE ANAKUTISHIA HAJIUI WALA NINI ANAYEJIUA ANATANGAZA AU UNAKUTA KISHAJITUNDIKA KAACHA MSG KUWA KAJIUA KISA HIKI NA HIKI ANATINGISHA KIBIRITI HANA LOLOTE HUYO ATAKUWA KAJIFUNZA BILA SHAKA TAMAA MBAYA WANAUME CYO WOTE WEMA NDO MANA KATOSWA ALIKUWA ANAPITA TU HUYO C UNAONA ALIYEKUWA ANAPENDWA KAMUOA.USHAURI WANGU KAMA UNAWEZA BADILISHA CMU NAMBA AU USIPOKEE CMU ZAKE WALA MSG USIJIBU UNAMPOTEZEA KIIVYO KAMA MTU ANAAKILI TIMAMU ATACHOKA TU KUPIGA AF HAIPOKELEWI WALA MSG HAZIJIBIWI ALL THE BEST DEAR AF MUELEZEE HUYO WA SASA KWAMBA NA MTU WA HIVI NA HV SO HATA AKIPIGA ASISHANGAE KWANINI HUPOKEI CMU WALA MSG HUJIBU .KILA LA KHERI KWENYE MAPENZI YENU MY DEAR.

kwani akijiua yeye atakuwa wa kwanza kufa. Yaani wewe ndio uwe spare tairi. apo unaomba ushauri wa nini au huyo ambaye uko nae ukimlinganisha mambo fulani hamfikii yule unatuzuga?
Chapisha Maoni