Habari Adela mimi ni mwanaume naishi Dar es salaam nipo katika mahusiano takribani miaka miwili na mpenzi wangu nampenda sana na yeye pia ananipenda lakini tangu nilipokuja kumtambulisha kwa kaka yangu nimeona mabadiliko kwani mara nyingi mchumba wangu huwa anakuja nyumbani na mimi naishi na kaka yangu ambaye tumepishana kiumri kama miaka mitatu, mabadiliko ninayoyaona kaka yangu anaonyesha kumzoea mpenzi wangu sana kwani akija huwa anamkaribisha kwa kumkumbatia yaani anaonyesha furaha ya ajabu hilo lilikuwa halinipi mashaka sana,
ila sikuhizi akija kaka anaingia jikoni na kumpikia chakula huku akimwambia kuwa mimi sijui kupika na tena sijui kumtunza mwanamke mpenzi wangu yeye huwa namuona anacheka tu nakubaki akisema "shemeji bwana una visa" Hii ni kauli ambayo huwa anapenda kuitumia huyu mchumba wangu.. na badotena kaka yangu anadiriki kumtoa out mchumba wangu mara kwa mara mimi nikiwa sipo nimejaribu kumuuliza mpenzi wangu yeye ananiambia mimi nina wivu sana hakuna chochote.
lakini mimi nakuwa nawasiwasi kwa namna walivyokaribu sana na hata kuna baadhi ya marafiki zangu waliniambia kaka yako anatembea na mchumba wako ila mimi naogopa sana kufahamu ukweli kwasababu sijui nini kitatokea naombeni ushauri nifanyeje jamani
ila sikuhizi akija kaka anaingia jikoni na kumpikia chakula huku akimwambia kuwa mimi sijui kupika na tena sijui kumtunza mwanamke mpenzi wangu yeye huwa namuona anacheka tu nakubaki akisema "shemeji bwana una visa" Hii ni kauli ambayo huwa anapenda kuitumia huyu mchumba wangu.. na badotena kaka yangu anadiriki kumtoa out mchumba wangu mara kwa mara mimi nikiwa sipo nimejaribu kumuuliza mpenzi wangu yeye ananiambia mimi nina wivu sana hakuna chochote.
lakini mimi nakuwa nawasiwasi kwa namna walivyokaribu sana na hata kuna baadhi ya marafiki zangu waliniambia kaka yako anatembea na mchumba wako ila mimi naogopa sana kufahamu ukweli kwasababu sijui nini kitatokea naombeni ushauri nifanyeje jamani
Maoni 6 :
Baby boy!! maskini kijana, jamani ulimpeleka mchumba wako mikononi mwa simba??
Kiukweli ni vigumu sana hata uanze visa na mchumba wako maana yatafumuka kuwa unamhisi anatembea na kaka yako.Pia ni vigumu umuulize kama mtu.
La kufanya hama hapo home kama una uwezo wa kupanga chumba ili uepushe mazingira hayo yasiendelee na uendelee kujenga mahusiano mazuri na kaka yako.
Huyo mchumba wako, kama kweli amekubali kumpa uchi kaka mtu ni muuaji sana na hatafaa kuwa mke wako kwani ataendelea kuuza nje uchi wake.Sipati akili kabisa kuwa huyo binti kweli akubali kumvulia chupi kaka mtu pasipo hiana.
Usimletee ugomvi wewe tulia ipo siku utawafuma live na hapo ndipo itakuwa aibu yao.Kwa sasa hivi wewe tulia achana na kumuulizauliza huyo binti ili ajisahau na hapo kuna siku utaweka mtego ambao utategua kitendawili hicho.Tunza amani kwa sasa kama vile hakuna kinachoendeleea.
Chunguza kimya2 utaupata ukweli kabla ya kufanya hivyo mkataze mpenzi wako usiwe na mazoea ya hivyo na kaka yako pia mkataze asitoke nae out km anakupenda na hamna ki2 atafata unavotaka.
Joh...
pole sana kijana mi nakushauri jitahidi ujiweze kifedha heshima unayostahili itarudi coz kaka yako anaonekana anakudharua tena mbele ya msichana wako.jiweze kifedha then usilazimishe mapenzi na huyo msichana coz anaonekana bado hata yeye mwenyewe hajui anataka nini bado ajaseto kiakili hafai kupendwa huyo ukimng'ang'ania utaja juta.
KAKA NAUNGANA NA MDAU HAPO JUU KWELI JITAHIDI KUJIWEZA KIFEDHA ASIKUAMBIE MTU UKISHAKUWA NAZO DHARAU ZOTE ZITAISHA AMINI HIVYO MY DEAR HATA NDUGU HUWA MNADHARAULIANA JAMANI PIGA KAZI MUNGU YU PAMOJA NAWE IPO SIKU UTAFURAHIA MAPENZI ASIKUAMBIE MTU YAWEZEKANA DEM ANAKUPENDA ILA KAENDA KWA KAKA KWASASBABU YA HELA CYO KWAMBA ANAMPENDA BRO HUYO KILA MWANAMKE HUPENDA MPENZI AMBAYE ANAJIWEZA KIHELA UNAWEZA UKAMPENDA KIJANA LAKINI UKIKWAMA HATA UKIMKAUNTI HAWEZI KUKUPA HATA ELFU ISHIRINI WAKATI HUO WEWE DEM AKIKWAMA JAMAA UNAWEZA UKAMSAPOTI HATA LAKI KWAAJILI YA LOVE,LAKINI KWAKE HAWEZI NDO UNAPOONA HAPO NASTAHILI KUWA NA JAMAA MWENYE HELA ANGALAU NIKIKWAMA NIKIMKAUNTI ATAWEZA KUNISAIDIA SAA NYINGINE MAPENZI TU HAYATOSHI NAKUAMBIA AF HUWEZI UKAMFANYA MTU JINSI UTAKAVYO.NI NGUMU MNO PIA UNAKUTA JAMAA UNAYEMPENDA KWA DHATI MVIVU HATA KUWAZA USIYEMPENDA SASA DUH ACHA YUKO SHAP AD RAHA UNATAMANI AWE HUYU UMPENDAE LAKINI NDO HIVYO SO BRO TAFUTA HELA NI MUHIMU SANA DEM AKITOKA PIa unampa hela na love pia akitoka ana mapepo huyo atakuwa.NAKUSHAURI KAMA KAMCHAGUA BRO MUACHE KAMA ALIVYO UMASKINI HAUZOELEKI MY DEAR NO LOVE BILA HELA HUWEZI UKASEX NA MWANAMKE MKIWA NA NJAA HUO NDO UKWELI PIGANA BRO UTAPATA TU KAMA KAMCHAGUA BRO BASI ENDELEA NA MAISHA YAKO MENGINE.
SAA NYINGINE WENYEWE WANAUME MNACHANGIA MWANAMKE KUWA HAJATULIA UNAKUTANA NA KIJANA UNAMPENDA KWELI YAANI ILA MVIVU SANA KAZI HATAKI KUFANYA HUKU LABDA ANASOMA CHUO USIKU WAKATI DEM UNASOMA USIKU CHUO NA ASUBUHI MZIGONI KAMA KAWA LAKINI UNAKUTANA NA MWANAUME HATAKI ANATAKA AMALIZE SHULE KWANZA MARA ATASEMA OH MSHAHARA MDOGO LAKI MBILI NA NUSU KWELI HAITOSHI WAKATI UKIMWABIA NAOMBA ELFU KUMI HANA KWELI MTU WA HIVI UTAMPENDA KWELI MAPENZI YATAKUWEPO LAKINI CKU YA CKU UTACHOKA NA KUMUACHA KAMA ALIVYO WAKATI MTU AMBAYE HUMPENDI KACHANGAMKA ILE MBAYA UNAWEZA UKAMWAMBIA SAA NYINGINE MSHAHARA UNAKUWA MZURI MBELE YA SAFARI HUKO MAMBO NDO YANAKUWA MAZURI HATAKI MTU WA HIVI HATA AKIDHARAULIWA NI SAWA TU JAMANI MIMI NINACHOAMINI CHAKO NI CHAKO HAIJALISHI KIDOGO KIASI GANI KINATHAMANI YAKE ASIKUAMBIE MTU.SO BRO PIGANA ONE DAY YES DIA.HAKUNA DHARAU MBAYA KAMA DHARAU ZA KUTOKUWA NA HELA.
Kamata mwizi meeeeeeeeeeeeeeeeeen.
Chapisha Maoni