Wataalamu wanasema Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia kutoka kwa mwanamke ni kuambiwa kuwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaume wakati au baada ya tendo kuwa hawezi, atakuwa amemsababishia tatizo kubwa la kisaikolojia ambalo litamfanya aanze kupoteza nguvu za kiume taratibu. Kauli hizi unatakiwa kujua namana ya kumuambia mwenza wako na si kwa kutumia lugha ya dharau bali ni kumbembeleza na kumsaidia.
|
Maoni 3 :
mimi ni mwanaume ndugu yangu hapa umenigusa sana ilishawahi kunitokea
mmmmh hilo nalo neno Adela uko juu
naitwa Lina mamito unamaneno ya ukweli wewe hongera mwaya
Chapisha Maoni