Tazama picha hii huu ni ukatili anafanyiwa mama na mtoto wake haya ni matukio ambayo yanatokea katika maisha yetu,, wapo baadhi ya watu wanawafanyia hivi wenza wao na katika hili kuna ambao wanaenda kushtaki katika vyombo vya sheria lakini kuna wengine hawaendi kwa kuona aibu au kuhisi anamshtaki baba ama mama watoto wake MAMBO KAMA HAYA NI HATARI SI YAKUFANYA SIRI NI BORA KUWA WAZI KWANI MWISHO WAKE NI KIFO tunaona matukio mengi ya wapenzi wakipigana wengine kuchomana visu nk ,,,,Unaweza kusema nini kinapelekea kuleta ugomvi wa kupigana katika uhusiano????? |
Maoni 3 :
Kwakweli haihuuuuuuuu!kumpiga cyo kumrekebisha.vema kumaliza tofauti zenu bila kipigo.kuharibiana mwonekano mzuri kisha mnaendelea kuwa pamoja.
sio suluhisho bal ndo matatizo yanazid
!mwenzangu kupigwa tena mh?kila mmoja acontrol hasira zake.ucmsababishe mwenzio kufikia kukupiga jaman,na mnaopenda kupiga hata kwa kupishana kdogo upoteza ladha ya pnz.upende mwili wa mwenza km wako
Chapisha Maoni