WADADA NA WANAWAKE KUANZIA MIAKA 18 NA KUENDELEA TUNAKUTANA NA KUJADILI CHANGAMOTO MBALIMBALI ZINAZOTUKABILI KATIKA MAISHA/ MAHUSIANO/NDOA.KUNA MENGI YA KUJIFUNZA NA KUKUMBUSHANA USIKOSE. MUDA KUANZIA SAA 8 MCHANA MPAKA SAA 2 USIKU(Jamani kina dada/mama mzingatie muda)CHAKULA NA VINYWAJI VITATOLEWA . KUFANYIKA KATIKA UKUMBI WA DANKEN HOUSE UPO MIKOCHENI KWA WARIOBA BARABARANI KABISA KARIBU NA MBALAMWEZI BEACH.NI UKUMBI MPYA NA WAKISASA.
MAWASILIANO 0787 583132 NA 0789333537 ingia pia kwa http://www.dinamarios.blogspot.com ili kufahamu mengi zaidi kuhusiana na Kitchen Party Gala. |
Maoni 4 :
ni kweli kabisa Adela hii siyo ya kukosa tutakuwepo huko
inaelekea kutakuwa na mambo mazuri sana nitaomba ruhusa kwa mume wangu nije
naona wanawake wamejipanga kutupindua wanaume lol haya bwana na sisi tuanzisha men day
Sorry if i stepd in a wron track..Mimi ni mwanaume bt 4 sure hizi kitchen party zmewasaidia sana kna dada/mama kufunguka abt mapenz...tofaut na zaman,,nowadayz wengi hawaogopi kusema hisia zao kmapenz kwa wenzi wao..eventually ata cc wanaume do enjoy luv&sex..big up 2 the hosts!
Chapisha Maoni