Nimeipenda sana hii picha ni kweli jamani katika mapenzi kila mtu anacho alichokipenda kwa mpenzi wake bila ya kuangalia sura,umbile la mtu mrefu,mnene,mfupi ama kazi yake elimu na vitu vingine mapenzi ni kitu ambacho kipo moyoni mwa mtu mwenyewe na ndiyo maana inakuwa vigumu sana kuingilia mapenzi ya wawili waliopendana UNAAMBIWA MPENDE AKUPENDAYE ASIYEKUPENDA ACHANA NAYE,,,
Inawezekana watu wakakucheka umeolewa na mtu wa aina fulani ama umeoa mwanamke mnene sana au mweusi sana lakini wewe unajua ulichokipenda jamani KATIKA MAPENZI MTU ACHAGULIWI ANACHAGUA MWENYEWE. |
Maoni 1 :
hapo wenyewe sijui ndio siku yao ya harusi ila poa tu mradi mapenzi yawepo
Chapisha Maoni