Alhamisi, Januari 19, 2012

Unaweza kufanya matunda kuwa chakula chako cha mchana ama usiku

matunda ya aina mbalimbali  nanasi, maembe, matango, maparachichi nakadhalika unaweza kuchanganya pamoja na kufanya kuwa mlo wako kwa mchana ama usiku.

Kwa Afya matunda ni ya muhimu sana lakini tunajisahau na kujikuta tunakula vyakula kila wakati bila ya kula matunda na pia ni mazuri zaidi kwa wale wanaopenda kupungua uzito kula matunda kwa wingi kuliko unavyokula chakula.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom