Pages

Jumatatu, Januari 16, 2012

Kusuka rasta ni mtindo usiopitwa na wakati

Mwanamke ni vyema kuwa na muonekano tofauti mara kwa mara  kusuka rasta ni mtindo unaopendwa na wanawake waliowengi ikiwa wengine wanasuka mitindo tofauti kama yeboyebo,,njiatatu, za kimasai nakadhalika

Alice Kavishe huwa anapenda sana kusuka rasta katika muonekano tofauti niliipenda sana hii 

zinapendeza sana

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

jamani hata mimi mwenyewe napenda sana kusuka rasta amependeza sana lakini ukimpta msusi mzuri anayekupatia lol

Bila jina alisema ...

sio mwanamke unakaa na nywele ya kushone miezi sita mwanamke kubadilika bwana Adela hilo neno shaga yangu

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom