Ijumaa, Januari 27, 2012

Nawatakia weekend njema tuendele kuwa pamoja

Napenda kuwashukuru kwa kuendelea kuwa pamoja nami UJUMBE WANGU WEEKEND HII  "SI JAMBO LA BUSARA KUMTENDEA MTU JAMBO AMBALO HATA WEWE BINAFSI USINGEPENDA KUFANYIWA" NI VYEMA KUTENDA YALIYO MEMA BILA KUJALI KAMA UTALIPWA FADHILA YAANI TENDA WEMA UENDE ZAKO.

Maoni 1 :

Yasinta Ngonyani alisema ...

Nawe pia Adela na ahsante kwa ujumbe murwaaaaa!!!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom