Ijumaa, Januari 20, 2012

Nawatakia weekend njema wadau wangu

Ujumbe wangu wa leo UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU ushirikiano ni jambo la msingi sana tuendelee kuwa pamoja wakati wote


Maoni 6 :

Godfrey Msomba alisema ...

Iwe njema kwako pia, pamoja.

emuthree alisema ...

Ujumbe umefika mpendwa, na wewe wikiendi njema,...Tupo pamoja

Bila jina alisema ...

POA SANA ADELA NAKUKUBALI SANA WANGU

Bila jina alisema ...

Nilikuona kwenye foleni kuna siku ulikuwa umependeza bi shost uko poa sana big up blog yako inazidi kukua mie Amina wa kimara

faisal tamimi alisema ...

uko bomba lakini basi tu weekend tamu

faisal tamimi alisema ...

ok

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom