kunywa maji husaidia kunyevusha ngozi na kuonyesha uhalisia wake pia humfanya mhusika aonekane mwenye ngozi changa zaidi ya umri wake, ikiwa wewe ni mmoja kati ya wale wanaopoteza pesa nyingi katika kununua losheni na krimu kwa nia ya kuboresha muonekano wa ngozi yako waweza kuokoa fedha zako kwa kutumia maji kwa afya hivyo unashauriwa kunywa angalau gilasi nane za maji kwa siku haitachukua muda mrefu kuona matokeo yake kwani hii ni njia rahisi sana pendelea kunywa maji mengi kuliko vilevi, soda ama juisi katika kukata kiu. |
Maoni 3 :
Adela hongera sana kwa kuwa na blog nzuri ya kuelimisha nakupenda sana naitwa mama Elly
asante sana kwa ushauri na mimi nitaufanyia kazi my dear
yaani hii blog naikubali sana inaelimisha ni balaa we mdada nakukubali asante kwa hili
Chapisha Maoni