Ijumaa, Januari 13, 2012

Usichanganye mapenzi na kazi


Mapenzi yana nafasi yake jamani,, ukichanganya mapenzi na kazi unaweza kujikuta haufanyi jambo lolote la kimaendeleo hivyo basi muda wa kazi uwe wa kazi na mapenzi yawe na sehemu yake na katika hili ni vizuri kuwa makini na ni vyema wote wawili mkawa mnalitambua hilo isije ikatokea upo kazini mke ama mpenzi wako anakufuata na kutaka kuwa karibu na wewe kimapenzi au mambo yenu ya nyumbani anayaleta kazini itakuwa haina maana hata kidogo  pia si picha nzuri kwa watu wanaokuzunguka  MUDA WA KAZI NI WA KAZI NA MAPENZI NI MAPENZI


Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom