Ijumaa, Februari 03, 2012

Chonde chonde jamani kumbuka ulevi ni noma,,,weekend njema wadau wangu

Embu angalia yaani hata hawajitambui hii si hatari

Wengine wanatumia kilevi kwa kujionyesha kwamba wanaweza lakini mwisho wa siku wanaumbuka AMA KWELI ULEVI NI NOMA, kama ni mtumiaji basi angalau kunywa kwa kadri ya uwezo wako usizidishe kipimo ni hatari   uwezi kujua nini kitakupata wakati ukiwa umelewa.   WEEKEND NJEMA WADAU TUENDELEE KUWA PAMOJA WAKATI WOTE

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

.................lazima ikuumbue hadharani

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom