Habari dada Adela, naomba unitolee tangazo langu kwenye blogu yako kuwa natafuta mchumba. Mimi ni mwanamke, nipo nje ya Tanzania. mchumba ninayemtafuta awe na miaka kuanzaia 35 - 40. Pia awe anaishi nje ya nchi pia. Naomba sana aliye serious tu ndio aniandikie, ambaye hajawahi kuoa wala hana mtoto. Mwenye elimu ya chuo na anayethamini mwanamke na mwenye mapenzi ya dhati na mwenye nia ya kuanzisha familia hivi karibuni.
Email adress yangu ni:
Maoni 9 :
pole sana dada!
Details zake , mchumba anayemtaka aweje pamoja na umri.
vp vgezo anavovtaka?
Vigezo na masharti kuzingatiwa
ATAJE VIGEZ NA ATOE CONTACT
Umri wa miaka kati ya 35 na 40 bado hajaoa, hana mtoto, hajawahi kuacha au kuachwa..mbona nadra sana kuwapata..wengi wao kwa umri huo walishaoa, ama wana waototo au wamefiwa au wameachana.
Nicheki 0755688304
Nicheki 0766641583
Naitwa Nabii natafuta mke Mcha Mungu call 0755688304
Chapisha Maoni