Jumanne, Februari 07, 2012

Ukitenda kosa katika maisha ni muhimu sana kuomba msamaha.

Nimeyapenda sana hayo maneno katika picha,,katika maisha yetu kuna baadhi ya watu huwa wanatenda makosa lakini hawapendi kuomba msamaha au wakati mwingine atafanya juu chini yule aliyemkosea ndiyo ajishushe kwake na kuomba samahani kwa kosa lisilomuhusu ni vyema kujitambua kuwa kile kibaya unachomtenda mwenzako na kuumiza moyo wake basi hata ukitendewa wewe utaumia hivyohivyo,, KUBALI KOSA LAKO OMBA MSAMAHA NA JIREKEBISHE KUTOKANA NA KOSA HILO ILI USIRUDIE KOSA.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom