KITABU CHA MALIPO NI HAPAHAPA KILICHOBEBA SIMULIZI TATU ZA KUSISIMUA, ZINAZOGUSIA MAPENZI KATIKA MTAZAMO MBALIMBALI . |
Kwa wadau mliopo mbali tuwasiliane kwa email kavisheadela@yahoo.com kwani naweza kukutumia ukakipata asanteni sana kwa wote mnao endelea kunipa ushirikiano tuko pamoja sana. |
Na kwa yeyote ambaye angependa kuwa wakala tuwasiliane Wadau. |
Maoni 2 :
Mambo! Me nipo moro nitakipataje kitabu chako?
Congratulations and keep up the spirit of writing.
Chapisha Maoni