Jumanne, Machi 13, 2012

"Nyimbo za mapenzi zina hisia sana"

Nikiwa pamoja na muimbaji wa RNB Bongo Ben Paul nyimbo zake zinagusia sana mapenzi mwenyewe anakuambia "Nyimbo za mapenzi zina hisia kali na watu wengi wanazipenda sana kulingana na ujumbe husika".


Mtangazaji wa kipindi cha MICHANO TIME Passion FM  Radio,  K.O akiwa na Ben Paul
 Wimbo huu naupenda sana kijana amejaliwa kipaji

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

Kijana huwa namkubali sana huyu ana sauti nzuri sana

Bila jina alisema ...

Article writing is also a fun, if you be familiar with then you can write
or else it is difficult to write.
My website :: books about self image

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom