Jumatatu, Aprili 16, 2012

Asanteni wadau mlionunua kitabu cha MALIPO NI HAPAHAPA

kitabu hiki kilichosheheni simulizi za kusisimua  bado kipo kwa wadau mbalimbali ambao bado hamjakipata


MALIPO NI HAPAHAPA SIMULIZI ZA KUSISIMUA


hapa naandaa vitabu kuwatumia wadau wa Arusha

ASANTENI SANA KWA USHIRIKIANO TUENDELEE KUWA PAMOJA 

MAWASILIANO 
kavisheadela@yahoo.com
+255652343430 AU +255752817444

Maoni 1 :

emuthree alisema ...

Mpendwa tupo pamoja

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom