Inawezekana mambo haya kutokea kwasababu ya baadhi ya watu kukosa uaminifu embu fikiria umelala usiku mara ghafla unamkuta mwenza wako anazungumza katika simu na mtu mwingine huku ikionyesha kabisa kwamba ni mpenzi wake au alikuwa anachati ukashtuka na kuangalia simu yake kisha unakutana na ujumbe "Usijali mpenzi nakupenda sana yaani nakukumbuka sana mambo yako matamu hapa naona usiku mwingi yaani nakutamani sana tamu ya moyo wangu" unakutana na ujumbe kama huu je utachukuahatua gani???
Ukweli ni kwamba binadamu yeyote ukikutana na hali kama hii utaumia sana mwingine atalia, kudai talaka,kupigana lakini mwingine atakaa kimya huku akilia moyoni mwake. unadhani nini kifanyike inapotokea hali hii,,,,,,,,,,,,, |
Maoni 2 :
Labda na yeye anatafuta usingizi...ni vyema pia kujitahidi kusaidiana kurtafuta usingizi, usikimbilie kulala...ili usimpe nafasi mwenzako kutafuta visingizio
yaani tunapigana kwakweli
Chapisha Maoni