Katika majaribio ya kipengele cha ADELA VOICE leo nimezungumza na Aneth Nyoni pichani mada inasema kwa nini baadhi ya watu wanakata tamaa katika mahusiano ya kimapenzi???
Maoni 4 :
Bila jina
alisema ...
Hivi huyu dada ana undugu na Loiza mbutu,wa Twanga Pepeta. Wamefanana sana
Maoni 4 :
Hivi huyu dada ana undugu na Loiza mbutu,wa Twanga Pepeta. Wamefanana sana
ndiyo mdau huyu Ni mdogo wake na Luiza Mbutu
Hongera sana Adela unaonekana kuwa unaweza sana utangazaji rafiki nakupenda sana
woow kazi nzuri dada mungu hakuzidishie.uzd kutuelimisha naic yote uyo dada kashayaongea.
Chapisha Maoni