Ukitaka kuondoa chunusi usoni na kusafisha uso usiwe na madoa ni vyema ukatumia njia asili kufanya hivyo tumia asali na ukwaju kupata matokeo mazuri bila madhara |
Ukwaju na asali hupatikana kwa urahisi sokoni |

Maoni 11 :
Asante Adela kwa hili urembo wa asili ni mzuri zaidi
asante dada kwa msaada wa kuwa na ngozi nzuri,naomba msaada wa vipimo nichanganye asali kwa ukwaju kiasi gani?
Ahsante dada kwa somo lako zuri sasa huo mchanganyiko utapaka ndani ya siku ngapi? pia naomba msaada wa vipimo nichanganye asali kwa ukwaju kiasi gani?
Ahsante kwa urembo wa asili usiobabua ngozi yako.
Asante dada kwa ushauri wako, nitakupa matokeo
Dada Adela asante sana kwa ushauri wako nimejaribu kufanya ndani ya wiki 2 imenisaidia sana sina madoa wala chunusi.ubarikiwe
Dada Adela asante sana kwa ushauri wako imenisaidia sana na nimepaka kwa muda wa wiki 2 ngozi yangu imekua imara sina chunusi wala madoa asante na ubarikiwe.
Asante dada Adela kwa ushauli wako mzuri
Asante dada
Asante dada Adela
Asante Adela nimepata maarifa ya urembo wa kutengeneza uso kwa asili bila madhara. Ubarikiwe.
Chapisha Maoni