Alhamisi, Aprili 19, 2012

Pendelea kula samaki upate faida zake katika kujenga mwili


-Huendesha mfumo wa kinga ya mwili
-Huzuia saratani
-Hutoa ahueni kwa wenye pumu
- Hupambana na dalili za awali za ugonjwa wa figo
-Huongeza nishati ya ubongo

-Huyeyusha damu, huifanya kuwa nyepesi
 -
Huilinda mishipa ya damu isiharibike
-Huzuia damu kuganda
-Hushusha shinikizo la damu
-Hupunguza hatari ya kupatwa na mshituko wa moyo na kiharusi
-Hutuoa ahueni kwa wenye ugonjwa wa kipandauso
-Husaidia kuzuia uvumbe mwilini

Maoni 1 :

Yasinta Ngonyani alisema ...

Nimechelea kidogo lakini najua bado kamnofu kaduchu kwa ajili yangu...Unajua umenikumbusha nilipokuwa mdogo baba na mama walikuwa wakiniambia nikila kichwa cha samaki nitakuwa na akili sana ...basi wacha nivitwange...hahahaha kaaazi kwelikweli

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom