Ni kweli hii tabia ipo kwa baadhi ya wanawake katika mahusiano yaani yeye muda wote anachokiwaza ni hela kila anapokutana na mwenza wake anawaza atamuachia pesa kiasi gani akimpigia simu anaomba hela,, je inamaana hii ni tabia au ukiwa na mpenzi ni lazima kila tatizo ulilonalo akusaidie???? ndiyo maana kauli hii ya MAPENZI YA SIKU HIZI NI HELA inatawala sana |
Maoni 2 :
ni kweli Adela hii tabia imeshamiri sana, tunawafanya km ni sehemu ya kumalizia shida zetu, inaboa kwa kweli na inamfanya mpenzi akuchoke haraka coz kila ukimwona ww ni kulia shida tu halafu c ajabu bi dada nae anafanya kazi sasa cjui bi dada hela yako inakwenda wapi,pia ckatai kuomba msaada ila icwe too much jaman. TUJIREKEBISHE WADADA
hapo cna hoja ADELA maana hapo umegonga penyewe!! japo kuwa namshukuru sana my baby hajawai kuniomba hela,cjui kama utaaminiana na mimi kuhusu hilo.sio kama huwa simpatii huwa ninampa nikijisikia mtanisamehe kwa hili ninalotaka kusema.ADELA female ni kama mtoto mdogo jinsi utakavyo kuwa unamzoesha ndivyo atakavyo kuwa!!!
Chapisha Maoni