Kitabu changu cha MALIPO NI HAPAHAPA Dar es Salaam Kinapatikana Salamanda Bookshop POSTA AU Kariakoo mtaa wa MSIMBAZI NA LINDI JENGO KUBWA LA VODA kuna vijana na wanauza magazeti na vitabu na Kamata karibu na Shopright PASSION FM RADIO PIA,,,Mwanza kinapatikana BOOKPOINT
karibu na kituo cha mafuta TRA zamani,,Kahama kinapatikana MUSHI
STATIONARY ipo karibu na stendi ya mabasi.
Musoma kinapatikana Musoma mjini kwa muuza MAGAZETI stendi ya zamani
ya mabasi ,,DODOMA kinapatikana DODOMA MJINI MAKEYI HOUSE,,Tabora
kinapatikana URAMBO mjini SIZANI Bookshop kwa Shekhe Bilali na Barabara
ya Salmini karibu na Meya Hotel CHABRUMA duka la vitabu bado naendelea
kusambaza mikoa yote tutaelekea ARUSHA,MBEYA,MOSHI ,TANGA NK... |
Maoni 1 :
kwa mtu aliyekuwa nje ya nchi anakipataje?na mbona hujatuwekea kipengele chetu cha Adela voice?
Chapisha Maoni