Beyoncé Giselle Knowles alizaliwa tarehe 4 Septemba, 1981), anayefahamika zaidi kwa jina moja Beyoncé ni mwimbaji wa R & B, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi, mwigizaji na mwanamitindo kutoka Marekani. Alizaliwa na kukulia Houston, Texas na alihudhuria shule mbalimbali zinazofunza sanaa. Pia alianza kushiriki katika mashindano ya kuimba na kucheza ngoma akiwa mtoto. Knowles alikuja kujulikana katika mwisho wa miaka ya 1990 kama mwimbaji kiongozi wa kikundi cha wasichana cha R & B, Destiny's Child |
Beyonce akiwa na mtoto wake Blue Ivy Carter |
Wakati wa kuvunjika kwa kikundi cha Destiny's Child, Knowles alitoa albamu yake ya kwanza, Dangerously in Love (2003), ambayo ilikuwa mojawapo ya albamu za mwaka zilizokuwa na mafanikio zaidi na jambo hili liliashiria uwezo wake wa kufaulu kama msanii kivyake. Albamu hiyo ilikuwa na mafanikio muhimu ya kibiashara, huku ikitoa nyimbo mashuhuri kama "Crazy in Love", "Baby Boy", na kumshindia Knowles tuzo tano za Grammy katika mwaka 2004 |
cute one |
Muonekano wa Beyonce Baada ya kupata mtoto |
LOVELY COUPLE BEYONCE AND JAY Z |
Beyonce ni msanii ambaye anafanya juhudi sana katika kazi zake moja kati ya nyimbo zake ninazozipenda unaitwa WHO RUN THE WORLD |
Maoni 1 :
Boyence kapendeza na Mume wake, Mungu awajalie waiishi maisha marefu. Maana hawa mastar hawakawii kudivorce!
Chapisha Maoni