Alhamisi, Mei 10, 2012

TEARS OF THE DESERT ni NOVEL nzuri sana.

Hiki kitabu nilikinunua NOVEL IDEA BOOKSHOP SHOPAZ PLAZA yaani kinasikitisha sana ameandika HALIMA BASHIR kinaelezea maisha yake athari za vita huko Sudan ambapo ameonyesha namna ubakaji unavyotendeka kwa watoto na hata yeye mwenyewe pamoja na familia yake, matatizo aliyokutana nayo wakati vita zikiendelea huko Sudan


Rais Mstaafu wa Marekani George W Bush akiwa na kitabu hicho pembeni ni muandishi wa kitabu Halima Bashir

Napenda sana kusoma Novel zinaelimisha sana na ndiyo maana napenda kuandika simulizi na hata kufikia kutoa kitabu changu cha MALIPO NI HAPAHAPA ambacho kinapatikana mtaani kwa sasa



Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom