Tango ,,Tunda hili linaweza kupambana na kuchakaa na kuchoka kwa ngozi kunakosababishwa na tabia
mbalimbali. Pia lina uwezo mkubwa wa kusafisha ngozi hasa ya uso. Hiyo ni kazi moja kati ya nyingi zinazofanywa na tunda hili. Unachotakiwa
kufanya ni kusaga tango moja, kisha kuchuja juisi yake. Chukua pamba na
chovya kwenye mchanganyiko wako kisha pakaa usoni. Kaa kwa muda wa
dakika 20 hadi 30. Osha uso wako, kisha kausha kwa kitambaa safi na
laini.Ikiwa juisi itakuwa nyingi, unaweza kuihifadhi kwenye jokofu kwa ajili ya matumizi ya siku za baadaye. |
Maoni 4 :
ongera dada mna c wengne tunaangaika na chunuc za uso htr!nisaidie kwa ilo na ngozi pia inamafuta yn nikipaka make up nang'aa kma kitumbua.
Adela wewe ni mzuri sana "BEUTIFUL" hata usipopaka vipodizo You Look mwaaaaaaa
hili tango tufanye kila siku hapo sijaelewa my dear
mimi napenda sana macho yako
Chapisha Maoni