Siku ya kina Mama Duniani huadhimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 13 mwezi wa tano wewe kama Mama, mtoto, na Baba unafikiri siku hii ina umuhimu gani kwako??,, mimi naamini Mama ni moja kati ya nguzo muhimu katika maisha yetu Siku hii ni muhimu kuwapongeza kina Mama wote duniani katika changamoto mbalimbali katika majukumu yake ya kila siku NANI KAMA MAMA. |
Maoni 1 :
Oh, Nani kama mama, umenikumbusha kisa kinachohusiana na neno hilo, nani kama mama...siku nyingi kidogo,
http://miram3.blogspot.com/2011/01/nani-kama-mama-1.html
Chapisha Maoni