Jumatano, Juni 06, 2012

GARI AINA YA VITZ INAUZWA

Gari hii ni automatic  nimeitumia mwenyewe haijawahi kusafiri kwenda mbali na mkoa wa Dar es salaam


NAIUZA SH MILIONI SITA NA LAKI NANE

Ni nzuri sana haina tatizo kwa anayehitaji muda wowote kuanzia sasa

tuwasiliane KUPITIA NAMBA  0652343430

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom