Jumapili, Juni 17, 2012

Happy Father's Day

Leo ni siku ya kina baba duniani  hongera kwa kina baba wote ambao wanatambua majukumu yao katika malezi ya familia

Baba anayeipenda familia yake na kuijali hujenga familia iliyojaa upendo na amani

Baba anao mchango mkubwa katika malezi ya familia jambo la msingi ni kujitambua yeye ni baba  na kiongozi katika kujenga familia iliyo bora

Sikukuu hii ni kuwapongeza kina baba kuwashukuru na kutoa zawadi

Maoni 1 :

Yasinta Ngonyani alisema ...

Kweli inapendeza maana kama familia inasambaratika basi kunakuwa hakuna amani: Akina baba oyeeeeeeeee

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom