Kachumbari ni moja kati ya vionjo katika chakula wengi hupenda kutumia kachumbari yenye mchanganyiko wa matunda ya aina mbalimbali kama nyanya, vitunguu maji, tango, parachichi, kabichi nk, kwa kuchanganya matunda haya unapata virutubisho vya asili katika mwili wako |
Maoni 1 :
Kachumari huongeza hamu,....
Chapisha Maoni