Jumanne, Julai 10, 2012

PENDELEA KUNYWA JUICE AU KULA MATUNDA KAMA KIFUNGUA KINYWA

JUICE  YA KUTENGENEZA MWENYEWE NI NZURI ZAIDI KWA KUTUMIA MATUNDA YA AINA MBALIMBALI, Pia kumbuka kwa kuifanya juice kama kifungua kinywa  husaidia kujenga afya iliyobora pia ni nzuri  kwa wale waliokuwa nania ya kupunguza uzito pendelea kunywa juice kuliko chai  au maziwa 

Inawezekana ukawa ni mvivu kuandaa juice si vibaya ukatumia matunda kama kifungua kinywa changanya matunda ya aina mbalimbali.

Maoni 1 :

emuthree alisema ...

Duuh,nimemeza mate,napenda sana matunda, na juice ya asili!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom