Alhamisi, Novemba 15, 2012

MANENO MATAMU KWA UMPENDAYE

Wewe pekee upo moyoni mwangu nitaendelea kukupenda siku zote za maisha yangu   furaha  na mafanikio yangu  unashiriki ipasavyo nakupenda sana wewe ndiyo ua la moyo wangu.
****************************************************
Nikilala huwa nasikia furaha kutokana na mapenzi matamu unayonipatia wewe si muongo wa mapenzi vitendo vyako na malengo yako kwangu vinanifanya nizidi kukupenda milele daima. 
*****************************************************
Huwa sipendi kusikiliza maneno ya watu kwani nia yao ni kutugombanisha nakuamini kwasababu unanipenda na moyo wangu unakupenda pia nahisi kulikosa penzi lako ni sawasawa na kukosa furaha ya maisha yangu nakupenda mpenzi.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom