Jumanne, Novemba 13, 2012

UJUMBE WANGU WA LEO "Usiendelee kuweka makosa yako kichwani kwani uzito wake utaangusha uwezo wako halisi"

Ukiwa ni mtu wa kukumbuka matukio uliyoyashindwa kichwani mwako utajikuta unayaamini  na  kujiona ni mtu wa kushindwa kila siku kwani mwanzo wa kila kitu ni kigumu  kabla hakijakubalika, na siku zote haiwezekani kuwa wewe kama unajipambanisha na wengine.

Jambo linaloweza kukuangusha  ni ramani uliyoiweka katika malengo yako  na kutaka kila kitu kiwe kama ulivyopanga katika mawazo yako, kwani siku zote ulichokipanga kinaweza kufanikiwa ama kisifanikiwe kwahiyo ni vyema kujipanga kwa tatizo lolote linaloweza kutokea JAMBO LA MSINGI USIKATE TAMAA.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom