![]() |
| Kuna baadhi ya wanawake hupaka lipstic kwa kuikoleza kiasi kwamba unaonekana kituko badala ya kupendeza |
![]() |
| Pia zingatia nguo unayovaa kuendana na rangi ya lipstick unayopaka |
![]() |
| lipstick nyekundu huwapendeza sana watu weupe |
![]() |
| kuna wasiopenda kupaka lipstik hupendelea lipshine zaidi lakini kama wewe unapenda lipstic kuwa makini katika kuchagua rangi ikiwezekana tafuta ushauri kwa wataalamu |

.jpg)


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni