Kuna baadhi ya watu huwa na tabia ya kufikiria mambo mabaya ambayo yalishapita kwa kufanya hivyo fahamu kwamba unaharibu mambo mengine ya wakati uliopo, ni vyema kusahau mabaya yaliyopita unatakiwa kujikubali na uache kufikiria mawazo mabaya ili ufungue ukurasa mpya.KWANI JAMBO JEMA AU BAYA LINAJENGWA NA MAWAZO YAKO PIA. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni