Chaka Chaka alizaliwa Dobsonville huko Soweto. Akiwa ni mtoto wa kwanza wa kiafrika kuonekana kwenye televisheni Afrika Kusini. Mwaka 1981 "Sugar Shack" Chaka Chaka alianza kuimba akiwa na miaka 19 mwaka 1985 wakati Phil Hollis wa Dephon Records alimgundua mjini Johannesburg.Muda mfupi baada ya albamu yake "I'm in Love With a DJ", kuuzwa nakala 35,000, wimbo huo ulikuwa umependwa mara moja.
MOJA KATI YA WIMBO WA CHAKACHAKA MAMALAND NAUPENDA SANA
|
Ana shahada mbili kutoka Chuo Kikuu cha Afrika ya Kusini, moja katika elimu ya watu wazima, nyingine katika serikali, usimamizi na utawala. Pia alisoma hotuba na kuigiza katika Trinity College, London, akihitimu mwaka 1997. |
AFRICAN WOMEN YVONNE CHAKA CHAKA |
Maoni 2 :
А perѕon nеcessarіlу help tо mаκe
sіgnifiсantly posts I'd state. This is the first time I frequented your web page and so far? I surprised with the research you made to create this actual publish extraordinary. Great activity!
my web-site ... Red Kings Poker Offer
Dumbbells and especially adjustable dumbbells are certainly not
inexpensive.
my web blog - aquabells dumbbells
Chapisha Maoni