Alhamisi, Januari 24, 2013

KITABU CHA SIMULIZI ZA KUSISIMUA MALIPO NI HAPAHAPA

Wadau wa simulizi kwanza kabisa napenda kuwashukuru kwa kuwa pamoja kupitia blog hii, nimekuwa nikiwawekea sehemu mbalimbali za simulizi ya kitabu cha Malipo ni Hapahapa ambapo ndani ya kitabu kuna simulizi inayoitwa MAMA MDOGO, MALIPO NI HAPAHAPA NA INAYOITWA DADA YANGU ,  kwa sasa nimeamua kuuza kitabu kwa njia ya online kupitia email kama utakuwa tayari tuwasiliane  gharama itakuwa ni shilingi  elfu tano tu ya kitanzania  kwa njia  ya  MPESA NA TIGO PESA kwa wale mliopo nje ya nchi unatumia Western union.

  Nitauza kitabu hiki  kutegemeana na idadi ya wadau wanaohitaji kitabu, Unachotakiwa  kufanya ni kunitumia email yako na kiasi cha pesa sh elfu tano, halafu moja kwa moja unatumiwa kitabu kupitia email yako. Nitashukuru sana kwa mchango wako kwani utakuwa umenisaidia kuweza kuandaa simulizi nyingine nyingi zaidi za kusisimua, kwa wale wanaohitaji tuwasiliane kwa namba +255652343430, au email yangu ya kavisheadela@ yahoo.com  ili niweze kufahamu idadi ya watu wanaohitaji kitabu hiki. Asanteni sana na nawapenda sana tuendelee kuwa pamoja.


Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom