Alhamisi, Januari 17, 2013

Je mtoto mchanga ana mawazo??? Na huwa anawaza nini?

Pichani mtoto wa binamu yangu huwa nikimuangalia ni mtoto mwenye amani na furaha,, huwa najiuli mtoto anawaza nini, anachokiwaza labda ni njaa inamuuma anataka kunyonya maziwa ya mama, anawaza kucheza, kubebwa na kulala.
Ili mtoto kufikisha ujumbe kuwa njaa inamuuma wengi wao ulia au hushika chochote kilichopo karibu na kukiweka mdomoni JAMANI MTOTO HUONGEZA FURAHA KATIKA FAMILIA

Maoni 1 :

emuthree alisema ...

Anawazia nyonyo ya mama

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom