Alhamisi, Januari 03, 2013

MANENO MATAMU KWA UMPENDAYE MWAKA 2013

Furaha yangu ni kuwa karibu yako wakati wote kwani wewe ndiye unanifanya nifurahi mapenzi yako ni matamu sana Mungu atujalie tuendelee kuishi pamoja milele na milele daima.  

 ******************************************
Unapokuwa mbali hata kwa dakika chache huwa nakosa furaha kwani tabasamu lako hunipa faraja na matumaini hata kama sijala nikikuona tu nasikia nimeshiba moyo wangu upo juu yako tafadhali usiniache mbali
*******************************************
Tumeishi pamoja ni miaka mingi sasa lakini mapenzi yangu kwako yapo vilevile kila siku nakuona mpya unanikosha sana na ubunifu wako wa mapenzi tupendane milele

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom