Jumamosi, Januari 05, 2013

UNAWEZA KUFIKIRI KUWA UNAMDANGANYA,,KUMBE MNADANGANYANA ,,NA YEYE ANAKUDANGANYA VILEVILE

Siku zote jambo usilolijua ni sawasawa na usiku wa kiza kinene,,Unajua wakati mwingine unaweza kuwakuta watu wawili wapendanao mmoja akifikiri mwenzie ni mwaminifu sana na huku akiamini yale anayoyafanya yeye kama ni msaliti basi mwenziye hayafanyi kumbe yawezekana yale unayoyafanya huku ukiwa na uongo mwingi mara unasafiri kumbe hauendi safari una mambo yako.

Mfano mmoja anapomwambia mwenzi wake hivi "Kesho mimi nitachelewa kurudi kwani tunaweza kulala hukohuko ni mambo ya kikazi zaidi" mwenziwe akajibu "sawa hakuna shaka" huku moyoni mwake akiwaza "mmmmh bora hata aondoke mimi nipate muda wa kupewa raha na Juma" na huku moyoni mwenziwe akiwaza "daaah bora kanikubalia kesho nitafurahi sana na Esta" UAMINIFU NI JAMBO LA MSINGI SANA NI VYEMA KUWA MUWAZI.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom