Alhamisi, Machi 21, 2013

UJUMBE WANGU WA LEO "SIYO KILA MTU MWENYE MANENO MAZURI, ANAYEFUNDISHA NA KUELIMISHA JAMII ANAYATENDA YALE ANAYOYAFUNDISHA.

Inawezekana akawa ni mwalimu mzuri sana wa kufundisha maadili mema katika mambo MBALIMBALI, lakini tabia aliyonayo isiwe nzuri. kwasababu, yale anayoyatenda katika jamii hayaendani  kabisa na vile anavyoelimisha jamii, mfano anawaasa watu wasifanye uzinzi au kutumia kilevi lakini yeye ndiye wa kwanza kutenda mambo hayo  wataalamu wanakuambia "chukua maneno yangu uelimike lakini usiige tabia yangu" TUKO PAMOJA SANA WADAU.


Maoni 8 :

Bila jina alisema ...

KIUKWELI WATU HAO WAPO WENGI WENYE MANENO MAZURI LAKIN UKIJA KWENYE KUTENDA WAKO TOFAUTI.

Bila jina alisema ...

KWELI WENGI HUWA SI WATENDAJI WA YALE WANAYOYAFUNDISHA HAYAENDANI KABISA NA TABIA ZAO...UPO JUU SANA CSTA ITS FRED KINGTOL FROM MARANGU TTC

Sebastian alisema ...

SIO SIRI HAYO NI YA KWELI KABISA

Sebastian alisema ...

AM VERY HAPPY.

emuthree alisema ...

Mwalimu mwema wa maisha ni yule matendo yake yanaendana na kile anachokufundisha, au sio?

Habiba alisema ...

you are so true my sister Adela tuko pamoja sana

Unknown alisema ...

can we meet pls?®

Bila jina alisema ...

kutenda kwake hapo
kuusu ikiwa wewe ni mbaya ni mbaya tuu ukianza kumjaji mtu hautafika mbali kwani hangalia linalo kufaa kufanya na lisilo faha kufanya hachana nalo

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom