Pages

Alhamisi, Machi 21, 2013

KAZI NI KAZI ALMRADI IWE NI KAZI HALALI USIDHARAU KAZI YA MWENZIO.

KIJANA AKIWA KATIKA KAZI YAKE YA KUOSHA MAGARI ,kuosha gari moja kwa vijana wa mtaani ni shilingi elfu mbili hadi elfu tatu kwa siku anaweza kubahatika kuosha hata magari 10. Hakuna kazi iliyorahisi kinachotakiwa ni kujituma na kufanya kazi kwa bidii.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom